Tuesday, April 15, 2014

Karibu kwenye ofisi zetu Sinza A Samnujoma Road karibu na Mlimani City upate punguzo maalumu la bei kwa mwezi April and May. Kwa maelezo zaidi piga number 022 2771120, 0684 888 111 au 0768 888 111

Wapendwa wateja wetu, tunawakaribisha sana katika ofisi zetu ili uweze kupata punguzo maalumu la bei kwa mwezi wa April na May (Ofa hii ni kwa ajili ya wateja watakaotembelea ofisi zetu tu). Pia  utapa nafasi ya kuweza kujionea kazi zetu mbali mbali pamoja na kupata maelezo zaidi ya nini tunachoweza kufanya katika kutengeneza kumbukumbu nzuri ya picha na video katika siku yako maalumu. 
 
Ofisi zetu zipo Opposite na Mlimani City, Kutokea kwenye round about ya Mlimani city unaingia service road kama unaenda Mlimani Tower, nyumba chache kabla ya kufika Mlimani Tower utaona Bango letu.
 
Kwa maelekezo  zaidi piga  namba zetu zituatazo
022 2771120,  0684 888 111 au 0768 888 111.
 
Muda wa Kazi
Jumatatu hadi Jumamosi saa 2 Asubuhi hadi saa 11 Jioni.
 
Karibuni sana.